Ndugu zangu mama angu kapata kama stroke ila anatembea ingawa kwa shida, ila ana matatizo mawili, la kwanza kapoteza kumbukunbu, la pili ana shindwa ku sense pale anapohitaji kupata kujisaidia.
Hujikuta anashindwa kutambua kabla hali hiyo haijatokea
Je, nimfanyie kipimo gani kujua tatizo, au dawa gani could suit her pia which is the best hospital. Mimi niko mkoani nataka nimlete Dar es salaam naombeni msaada wenu wenye kujua hilo.