Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
Habari Wana JF, naombeni msaada wa kisheria.
Mwajiri wangu alinivunjia mkataba bila kunipa barua yoyote yakuniachisha kazi, nilipewa kesi ya wizi ambapo alinipeleka polisi, lakini hakupeleka kesi mahakamani, baada ya kutoka polisi nilienda kituo cha haki za binadamu, nikapewa form za CMA nakuzipeleka CMA na kesi imepangwa tarehe 17/9/2024.
Malalamiko yangu ni;
~ Hakunipa barua ya kuniachisha kazi na mkataba ulikuwa imebaki miezi 10
~ Hajaweka michango ya NSSF kwa miezi 9
Wanasheria naomba msaada wa hii kesi yangu ili nipate haki yangu, je ni angle zipi zitanisaidia kushinda hii kesi