Mmavele jr Senior Member Joined Aug 14, 2014 Posts 130 Reaction score 53 May 6, 2015 #1 Ndugu naomba kwa anayejua muda wa kutuma maombi kwenye vyuo vya afya tayari au bado, na kama bado ni lini itakua rasmi?
Ndugu naomba kwa anayejua muda wa kutuma maombi kwenye vyuo vya afya tayari au bado, na kama bado ni lini itakua rasmi?
ngayonga953 Member Joined Mar 16, 2015 Posts 15 Reaction score 1 May 6, 2015 #2 Muda tayari, na watu wana apply
grysn JF-Expert Member Joined May 4, 2015 Posts 266 Reaction score 35 May 6, 2015 #3 ngayonga953 said: Muda tayari, na watu wana apply Click to expand... sio mkopo ndio umeanza...kimalzika mkopo ndio vyuo inafutata kuombaa....kwa upande wa bachelor
ngayonga953 said: Muda tayari, na watu wana apply Click to expand... sio mkopo ndio umeanza...kimalzika mkopo ndio vyuo inafutata kuombaa....kwa upande wa bachelor
M Mtarban JF-Expert Member Joined Jan 14, 2015 Posts 3,858 Reaction score 5,101 May 7, 2015 #4 walishaanza kwa ngazi zote certificate na kuendelea, na mwisho ni June 30 mwaka huu