Msaada maombi vyuo vya afya

Msaada maombi vyuo vya afya

Mmavele jr

Senior Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
130
Reaction score
53
Ndugu naomba kwa anayejua muda wa kutuma maombi kwenye vyuo vya afya tayari au bado, na kama bado ni lini itakua rasmi?
 
walishaanza kwa ngazi zote certificate na kuendelea, na mwisho ni June 30 mwaka huu
 
Back
Top Bottom