Msaada: Mapele kwenye Kwapa

Msaada: Mapele kwenye Kwapa

Zlatanmasoud

Member
Joined
Dec 19, 2010
Posts
71
Reaction score
16
Wadau kuna mshikaji wangu amekosa raha siku hizi, kwani anatokwa na vipele vidogo vidogo vyenye usaha kwapani. Mwanzo vilikua ni kwapa lake la kushoto tu lakini sasahivi anasema mpaka la kulia.

Kiukweli hana raha kwani anaogopa kujitia spray au perfume. Kwa yoyote mwenye kujua sababu au tiba atujuze. Heri Wenye Nyoyo Safi Maana Ufalme wa Mbinguni ni Wao.
 
Amwone dactari kwani kuna mshikaji wangu ishawahi kumtokea akapewa dawa flani yahujipaka ya mafuta meupe haikuchukua hata siku tatu mambo yakawa fresh
 
Tumia Clindamycin gel pamoja na pamoja na ampiclox caps.Hope hizo mbili zitamaliza tatizo lako
 
Ukiwa na magonjwa ya ngozi ni vizuri kumuona daktari, kwa kuwa yanatofautiana kidogo sana. Mfano huyo mtu anaweza akawa na Seborrhoic dermatitis with secondary bacterial infection ambayo hutokea sana kwa wagonjwa wenye upungufu wa kinga kama UKIMWI, KISUKARI, SARATANI n.k.
 
ukiwa na magonjwa ya ngozi ni vizuri kumuona daktari, kwa kuwa yanatofautiana kidogo sana. Mfano huyo mtu anaweza akawa na seborrhoic dermatitis with secondary bacterial infection ambayo hutokea sana kwa wagonjwa wenye upungufu wa kinga kama ukimwi, kisukari, saratani n.k.

mkuu unaweza ukaua. Huo ugonjwa ulioutaja wewe ni tofauti na huyu jamaa.huyu jamaa yangu ana vipele vidogo ambavyo hujitokeza kama viwili au vitatu. Huvitumbua lakini vinarudi hususan akitumia body spray au perfum.
 
Wadau kuna mshikaji wangu amekosa raha siku hizi, kwani anatokwa na vipele vidogo vidogo vyenye usaha kwapani. Mwanzo vilikua ni kwapa lake la kushoto tu lakini sasahivi anasema mpaka la kulia.

Kiukweli hana raha kwani anaogopa kujitia spray au perfume. Kwa yoyote mwenye kujua sababu au tiba atujuze. Heri Wenye Nyoyo Safi Maana Ufalme wa Mbinguni ni Wao.

Hii lugha sasa inaanza kuwa ''too much pilipili'' watu wanawasingizi rafiki zao wakati ni wao wenyewe.
 
Hii lugha sasa inaanza kuwa ''too much pilipili'' watu wanawasingizi rafiki zao wakati ni wao wenyewe.

You clumsy little fool, what business is it of yours whether anamsingizia au ni yy mwenyewe. Ww ni kusaidia kutatua tatizo sio kuleta unyanyapaa.
 
Awe yeye au rafiki yake jukumu lako ni kutoa msaada kama huna msaada kaa kimya boss, mtu kapata pancha anaomba msaada wewe unasema kwa sababu gari kaazima hutoi msaada huo sio ubinadamu ndugu.
 
Awe yeye au rafiki yake jukumu lako ni kutoa msaada kama huna msaada kaa kimya boss, mtu kapata pancha anaomba msaada wewe unasema kwa sababu gari kaazima hutoi msaada huo sio ubinadamu ndugu.

Afadhali umenisaidia ndugu, ubarikiwe
 
Back
Top Bottom