Zlatanmasoud
Member
- Dec 19, 2010
- 71
- 16
Wadau kuna mshikaji wangu amekosa raha siku hizi, kwani anatokwa na vipele vidogo vidogo vyenye usaha kwapani. Mwanzo vilikua ni kwapa lake la kushoto tu lakini sasahivi anasema mpaka la kulia.
Kiukweli hana raha kwani anaogopa kujitia spray au perfume. Kwa yoyote mwenye kujua sababu au tiba atujuze. Heri Wenye Nyoyo Safi Maana Ufalme wa Mbinguni ni Wao.
Kiukweli hana raha kwani anaogopa kujitia spray au perfume. Kwa yoyote mwenye kujua sababu au tiba atujuze. Heri Wenye Nyoyo Safi Maana Ufalme wa Mbinguni ni Wao.