Zlatanmasoud
Member
- Dec 19, 2010
- 71
- 16
ukiwa na magonjwa ya ngozi ni vizuri kumuona daktari, kwa kuwa yanatofautiana kidogo sana. Mfano huyo mtu anaweza akawa na seborrhoic dermatitis with secondary bacterial infection ambayo hutokea sana kwa wagonjwa wenye upungufu wa kinga kama ukimwi, kisukari, saratani n.k.
Wadau kuna mshikaji wangu amekosa raha siku hizi, kwani anatokwa na vipele vidogo vidogo vyenye usaha kwapani. Mwanzo vilikua ni kwapa lake la kushoto tu lakini sasahivi anasema mpaka la kulia.
Kiukweli hana raha kwani anaogopa kujitia spray au perfume. Kwa yoyote mwenye kujua sababu au tiba atujuze. Heri Wenye Nyoyo Safi Maana Ufalme wa Mbinguni ni Wao.
Hii lugha sasa inaanza kuwa ''too much pilipili'' watu wanawasingizi rafiki zao wakati ni wao wenyewe.
Hii lugha sasa inaanza kuwa ''too much pilipili'' watu wanawasingizi rafiki zao wakati ni wao wenyewe.
Awe yeye au rafiki yake jukumu lako ni kutoa msaada kama huna msaada kaa kimya boss, mtu kapata pancha anaomba msaada wewe unasema kwa sababu gari kaazima hutoi msaada huo sio ubinadamu ndugu.