Msaada: Mark II Grande inawasha taa ya mafuta haizimi

Msaada: Mark II Grande inawasha taa ya mafuta haizimi

Sorry Nina mark II grande Juzi Kati iliwasha taa ya mafuta na nilikuwa nakaribia eneo lenye kituo cha mafuta nikapitia nikaweka mafuta lakini cha ajabu ile geji ya mafuta ikabaki palepale chini na taa ya mafuta ikaendelea kuwaka je hapo tatizo ni nini naombeni msaada
Weka fulltank
 
Weka lita30 itazima mkuu hio chuma yangu miaka 8 sasa box ya speakers 2 za nchi 12 each [emoji41][emoji41] ipo kwenye buti

Pamoja na kuziba namba tumezoom na kuzijua[emoji23][emoji23][emoji23] T66... BE...
Kwenye gap acha nisimalizie!!!
 
Back
Top Bottom