Msaada: Mashamba ya kulima mpunga yanayokodishwa au kuuzwa

Msaada: Mashamba ya kulima mpunga yanayokodishwa au kuuzwa

Kulikuwa na vitu vingi vilivyochangia nisiende kulima ufuta pamoja na kulikuwa migogoro ya ardhi na watu wa hifadhi ila kubwa zaidi nilikuwa nayatengeneza mashamba yangu ya mikorosho kwasababu ndilo zao ninaloliamini kuliko yote hapa Tanzania kwahiyo hata hiyo pesa niliyokaipata nilienda kununua mashamba ya mikorosho tandahimba
Aaaah, hapo sawa mkuu! Hongera kwa kujikita kwenye Kilimo!
 
Naomba kuuliza wana JamiiForums,

Hivi ni maeneo gani mpaka sasa kwa mikoa inayolima Mpunga kwa mfano Songea ni Maeneo yapi mashamba ya mpunga bado yanakodishwa au kuuzwa kwa bei ya chini?
Huko koote ubabaifu tu kilimo cha mpunga kipo mbarali mkoa wa mbeya,,saivi kukodi ekari moja 400k Hadi 500k na ukitaka kununua ekari moja milioni 2.5 Hadi 3 wakina masanja wanasumbua dar kwa ajili ya mipunga ya mbarali..kama unataka kilimo cha biashara nenda mbarali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza wana JamiiForums,

Hivi ni maeneo gani mpaka sasa kwa mikoa inayolima Mpunga kwa mfano Songea ni Maeneo yapi mashamba ya mpunga bado yanakodishwa au kuuzwa kwa bei ya chini?
Kwa kusini recommended places ni wilaya ya Tunduru wanalima mpunga nadhani skimu watakuwa wameanza kujengewa,Ndanda pale kuna skimu,mkungu mahiwa mpaka Nyangao kuna skimu na kuna sehemu Rutamba maji na wanamwagilia pia
 
Kulikuwa na vitu vingi vilivyochangia nisiende kulima ufuta pamoja na kulikuwa migogoro ya ardhi na watu wa hifadhi ila kubwa zaidi nilikuwa nayatengeneza mashamba yangu ya mikorosho kwasababu ndilo zao ninaloliamini kuliko yote hapa Tanzania kwahiyo hata hiyo pesa niliyokaipata nilienda kununua mashamba ya mikorosho tandahimba
KAKA KWEMA NATAKA NIKUFATE TANDAIMBA,NIPO DAR
 
Back
Top Bottom