Naomba msaada wa kujua ni mashine gani zinatumika kuprinti plastic id cards na bisness cards kwa haraka, zinapatikana wapi, kwa bei gani. Na material zake zinapatikanaje? Kwa sasa natumia Epson ambayo iko taratibu sana kwa sababu haijatengenezwa maalum kwa kazi hiyo. Ahsanteni sana JF kwa msaada.
Nipo Tanga.