Msaada: mashine gani inatumika kuprint plastic id cards

sijaelewa

Senior Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
101
Reaction score
56
Naomba msaada wa kujua ni mashine gani zinatumika kuprinti plastic id cards na bisness cards kwa haraka, zinapatikana wapi, kwa bei gani. Na material zake zinapatikanaje? Kwa sasa natumia Epson ambayo iko taratibu sana kwa sababu haijatengenezwa maalum kwa kazi hiyo. Ahsanteni sana JF kwa msaada.

Nipo Tanga.
 
1000 pounds kutoka UK, special ya business card or id
 
Attachments

  • 1449150837531.jpg
    1449150837531.jpg
    13.2 KB · Views: 116
Kununua inawezekana ikawa mishe ila mishe zaidi ni cartridge za wino zikiisha nakushauri uagize kutoka Alibaba utapata lea bei nafuu hata $250 za pantone
 
Back
Top Bottom