Msaada: Mashine yangu imenywea sana zaidi ya kibamia

Msaada: Mashine yangu imenywea sana zaidi ya kibamia

Chukua
Pilipili hoho robo,
Pilipili boga 2
Pilipili manga kijiko kimoja.
Tanga wizi kidogo, saga na embe mbichi 2 zile kubwa, kunywa vijiko viwili kwa siku, japake kijiko kimoja kabla ya kulala.

Dawa hii ni kurudisha hali ya kawaida na kuwa I mara, muda wa siku 3

Huu mchanganyiko siwezi kuutumia nikaokota nyumba mkuu?
 
Acha uhuni wewe hafu punguza ngono hovyo unajichakaza yani unajisifia uzinifu endelea kushindana na palipokuleta duniani cha moto utakiona
 
Am speechless....
 

Attachments

  • A5CB844F-21AD-4E8D-A124-430F1A6FE625.jpeg
    A5CB844F-21AD-4E8D-A124-430F1A6FE625.jpeg
    12.5 KB · Views: 31
Back
Top Bottom