mkuu kwa ufahamu wangu mdogo kuhusu hiyo course haina ajira kabisa zaidi ya kuwa lecturer katika vyuo vya afya
So unanishauri nn kati ya masters in nursing na masters in anatomy? Yopi niendelee nayo au kama unaielewa masters nyingne yeyote bac nisaidie.
mkuu kwa ufahamu wangu mdogo kuhusu hiyo course haina ajira kabisa zaidi ya kuwa lecturer katika vyuo vya afya
Kwaiyo vyuo gan vinatoa masters ya radiography na miaka mingapi?mkuu mimi nakushauri uchkue masters ya radiology
Kwaiyo vyuo gan vinatoa masters ya radiography na miaka mingapi?
nadhani ipo kcmc,bugando,muhimbili ila vyuo vingine sina uhakika...kuhusu duration sijui mkuu.
mkuu mimi nakushauri uchkue masters ya radiology