Msaada:Masters in Anatomy

Msaada:Masters in Anatomy

B the Don

Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
79
Reaction score
4
wana jf poleni sana kwa uchovu naombeni mnijuze kuhusu hii masters in anatomy. Nilisoma bachelor of nursing ila ktk pita pita zangu mitandaoni niliona chuo kinachoitwa IMTU kinatoa masters in anatomy kwa wale waliosoma bachelor of science in nursing BSCN pamoja na MD na wale wenye bachelor ya dental surgery, so naombeni mnipe umuhimu wa kusoma hii na maslai yake hapo badae na upatikanaji wake wa ajira ukovip? Msaada tafadhali!
 
mkuu kwa ufahamu wangu mdogo kuhusu hiyo course haina ajira kabisa zaidi ya kuwa lecturer katika vyuo vya afya
 
mkuu kwa ufahamu wangu mdogo kuhusu hiyo course haina ajira kabisa zaidi ya kuwa lecturer katika vyuo vya afya

So unanishauri nn kati ya masters in nursing na masters in anatomy? Yopi niendelee nayo au kama unaielewa masters nyingne yeyote bac nisaidie.
 
mkuu kwa ufahamu wangu mdogo kuhusu hiyo course haina ajira kabisa zaidi ya kuwa lecturer katika vyuo vya afya

Ni kweli anatomists wako limited sana kwenye soko la ajira, pamoja na kuwa lecturer/tutor kutegemeana na institution anaweza pia kuwa researcher ama mara chache kufanya kazi kwenye hospitali za rufaa kama consultant wa surgeons kwenye complex operations ambazo zinahitaji ushauri wake kama mtaalam wa anatomy.
 
nadhani ipo kcmc,bugando,muhimbili ila vyuo vingine sina uhakika...kuhusu duration sijui mkuu.

ila iyo masters wanaruhusu kwa waliosoma bachelor za namna gan au kwa yeyote aliyosoma bachelor ktk afya? Kama kuna limitation nambie.
 
mkuu mimi nakushauri uchkue masters ya radiology

Hawezi kufanya radiology kwa sababu hiyo ni Mmed ya semester 6 na lazima awe MD lakini anatomy ni Msc ya semester 4 anaweza kufanya. Pia anaweza fanya Msc in Biochemistry, Clinical pharmacology na hata physiology kama yuko interested. Hizo kozi zote zipo Muhas nadhani Kcmc na Bugando pia, ingia kwenye websites zao fungua prospectus kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom