Msaada; Matatizo chini ya kitovu

Barhearty

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
319
Reaction score
29
Habari zenu wanaJf.

Kuna binti aliumwa na tumbo kwa muda, baada ya masaa kadhaa akaaza kuharisha uku tumbo likimuuma sana badae akatapika mara moja.

Ila tumbo likaendelea kumuuma.

Ila tumbo limeacha kuuma tatizo ana anasikia kitu kama kinacheza au kuvuta na kuacha chini ya kitovu ila tumbo alimuumi.

Je atakua na tatizo gani?
 

Mkuu nenda hospital,yawezekana ni minyoo sugu au kala sumu ila nenda hosptl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…