Msaada matibabu ya korodani kuuma

Mkuu, pole sana.

Nilikiri sijakuelewa. Maana kuna maumivu aina mbili. Kuna ngozi ya korodani na korodani zenyewe.

Je, unachoumwa wewe ni nini? Korodani kuuma kwa ndani ama ngozi yake kuuma kwa nje?

Nipo kusubiri.
Ngozi yake kwa nje inachoma kaka atar mno nateseka sana na ni mtda mrefu sana
 
Ushatumia na candederm mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…