Msaada matibabu ya korodani kuuma

Herbalist Dr MziziMkavu
 
Amia kwenye tiba asili Kuna mizizi ya miti fulani ivi ukichemsha inaweza kumaliza tatizo,kama upo seriously unataka kupona nicheck DM
 
mwone daktar wa ngozi isije kuishia kuwa FOURNIER GANGRENE igoogle uone mautundu yake kwenye ngozi ya pumbu
mungu aniepushe bro uo ugonjwa kama ningekuw nao ungekuw ushaonekana maan namuda sasa shidaa hii
 
Upigaji wa punyeto kwa muda mrefu imekuwa ikileta dalili kama hii.. jaribu kulitazama hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…