wamaukweli
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 1,084
- 1,277
PoaAsante mkuu, kesho tu naenda kuyatafuta hayo mafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoaAsante mkuu, kesho tu naenda kuyatafuta hayo mafuta
vizuri hilo tatizo alikuwa nalo mamaangu tumeangaika sana HOSPTARINI mbalimbali hapa DSM tumetupa ela sana hizo dawa wanazoelezea hao wakuu nyingi tulishatumia lakini zilikuwa zinaleta nafuu kwa mda yaan siku 2 tatu inarudi tena nilizunguka mpaka sehemu moja inaitwa dondwe huko mvuti kutafuta mitishambaNi mwanamke na ilianza tu ghafla
Thanks mkuu ngoja nifuatilie kwa watu wa forever nijuevizuri hilo tatizo alikuwa nalo mamaangu tumeangaika sana HOSPTARINI mbalimbali hapa DSM tumetupa ela sana hizo dawa wanazoelezea hao wakuu nyingi tulishatumia lakini zilikuwa zinaleta nafuu kwa mda yaan siku 2 tatu inarudi tena nilizunguka mpaka sehemu moja inaitwa dondwe huko mvuti kutafuta mitishamba
mana kuna kipindi hikimkamata anakua analia km mtoto mdogo mpaka mm kidume machozi hunilenga yaan ilifika hatua mpka hakawa hawezi kutembea
kabisa
sasa basi sasa hivi amepona ni mzima kabisa aliponea na DOZI ya wale jamaa wa forever mana ktk angaikaangaika mamaangumdogo anafanya hizo ishu za forever mwanzo nilidhani utaperi ila baada kuanza kupata nafuu
ndo ikabidi tuanze dozi kamiri ambapo inachukua miezi mitatu ila bei kidogo hizo dawa maana ni nyingi kuna ya kunywa vikopo 6 kimoja kinafika elf 40 sijui vidonge vikopo vitano kimoja elf 60 sijui bado za kupaka nk bahati nzuri mamaangumdogo alizipata kwa nafuu kwakuwa yeye ni mfanyabiashara wa forever hivyo alipata kwa unafuu kidogo
dozi yake hadi kukamilika ilifika karibu laki 7
mwingne nae alikua hivyohivyo nilimuelekeza now amepata ahueni jaribu kuulizia kwa watu wa forever km upo unawajua upate maelekezo na ushauri jinsi ya kuzipata
ninakuhakikishia kwa uwezo wa MWENYEZIMUNGUakitumia hizo dawa atapata nafuu na kupona kabisa
Mafuta ya karafuu anachuwa na black seed anakunywa.... nilimaanisha hivyo.Mafuta ya karafuu ni makali sana simshauri kunywa