Habari wapendwa humu, naomba msaada wa anaejua matibabu ya kupona kabisa uric acid ikiwa juu wilini, ninatatizo hilo mara kwa mara napima nakuta iko juu napewa dawa ya aloplunol inanisaidia kwa wakati huo lkn siponi kabisa, na nakuwa namaliza dose, nifanyeje nateseka kweli nikifika sehemu za baridi nakuwa kama naungua moto kipindi cha baridi ndo usiseme