relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,336
- 5,217
- Thread starter
- #21
Alizeti nzuri inayobeba vizuri ni ile inayopandwa mwishoni mwa mwezi wa kwanza kuanzia tar 20 kama mvua nyingi kama kwa mwaka huu changamoto ya mvua bora upande mvua inyeshapo kutokana na taarifa za watabiri.naomba kujua msimu w kuanza kulima alizet kwa dodoma