Alizeti nzuri inayobeba vizuri ni ile inayopandwa mwishoni mwa mwezi wa kwanza kuanzia tar 20 kama mvua nyingi kama kwa mwaka huu changamoto ya mvua bora upande mvua inyeshapo kutokana na taarifa za watabiri.naomba kujua msimu w kuanza kulima alizet kwa dodoma
aaaah ok asante sanaAlizeti nzuri inayobeba vizuri ni ile inayopandwa mwishoni mwa mwezi wa kwanza kuanzia tar 20 kama mvua nyingi kama kwa mwaka huu changamoto ya mvua bora upande mvua inyeshapo kutokana na taarifa za watabiri.
Alizeti nzuri inayobeba vizuri ni ile inayopandwa mwishoni mwa mwezi wa kwanza kuanzia tar 20 kama mvua nyingi kama kwa mwaka huu changamoto ya mvua bora upande mvua inyeshapo kutokana na taarifa za watabiri.
Kwa mwaka huu kuna changanoto sana ya mvua unashindwa kuelewa upande tarehe ipi mkuu but kwa tarh 20 january nakuendelea sio mbaya kwa mikoa yenye mvua nyingi ila kwa kanda ya kati kuanzia tarh 1 January panda tuAlizeti nzuri inayobeba vizuri ni ile inayopandwa mwishoni mwa mwezi wa kwanza kuanzia tar 20 kama mvua nyingi kama kwa mwaka huu changamoto ya mvua bora upande mvua inyeshapo kutokana na taarifa za watabiri.