Msaada matumizi ya Leseni

Msaada matumizi ya Leseni

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Nina leseni ya driving daraja B na D.
Inaonesha magari madogo tu,

lkn mm n mtumiaji wa pkpk,
sijanunua gari,
je kisheria inaweza kunifaa?
 
Wakati unasomea/unapata mafunzo hukuelezwa matumizi ya leseni?
 
Wakati unasomea/unapata mafunzo hukuelezwa matumizi ya leseni?

Nilihudhuria kimagumashi semina ya wiki 1,
na hata nilipoenda kukata leseni mkoa mwingine walinambia hawatambui hicho cheti.
 
Nilihudhuria kimagumashi semina ya wiki 1,
na hata nilipoenda kukata leseni mkoa mwingine walinambia hawatambui hicho cheti.

Ndio matatizo ya kupita shortcut. Mimi si mtaalamu.
 
Leseni Ya Pikipiki Ni
A
Lakini Inategemea Na Ujazo Wa Injini Ya Hiyo Chombo
 
leseni yako haionyeshi kwa unaruhusiwa kuendesha pikipiki so huwezi kuitumia kwa kipengele A,A1
 
Back
Top Bottom