Kwanini usiwasikiane na voda mkuuWakuu habari.
Jana mchana vodacom walinitumia ujumbe huu
MUHIMU!! Ndg wakala, LITE TILL unayotumia itafungwa leo 1/4/2019 na hutaweza kuitumia tena, Ondoa salio lako na commission yako kuepuka usumbufu. Asante.
Walipopigiwa voda walisema ni tatizo la mtandao na kwamba wamewatumia wengi ujumbe huo.
Jion kweli TILL imefungwa.
Kwa wazoefu naomba kujua tatizo hili chanzo chake ni nini? na suluhisho lake inatakiwa nifanye nini?
Wema ni akiba.
Kama.ni lako mwenyewe kawaona pale morocco kama upo dsm watakufungulia.ila kama ni ya mtu kasheshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kununua kwa mtu mkuu. Afu na mtu huyo naye alinunua mbali