Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi parachichi kwa mara ya kwanza kuzaa huwa yanapukutisha matunda karibia yote..hiyo ni kawaida ila inategemea na aina ya mbegu ...unaweza kushangaa yakabaki matunda machache au yasibaki kabisa ...ila mara ya pili utaanza kufurahia matunda kwa wingi...Ni mara ya kwanza kiongozi sijawahi kuvuna
Shukrani sana mkuu Kwa kunitoa wasiwasi nilikuwa nawaza kuikata kabisaMara nyingi parachichi kwa mara ya kwanza kuzaa huwa yanapukutisha matunda karibia yote..hiyo ni kawaida ila inategemea na aina ya mbegu ...unaweza kushangaa yakabaki matunda machache au yasibaki kabisa ...ila mara ya pili utaanza kufurahia matunda kwa wingi...
Nina uzoefu kidogo kwa sababu nilipokulia kuna parachichi kwa wingi sana.
Hio ni Abortion... Mbolea yenye calcium imeadimika humo.Ni mara ya kwanza kiongozi sijawahi kuvuna
Asante mkuu .Sasa iyo mbolea niiweke lini maana Kwa Sasa miti Haina hasta tundra Moja.Hio ni Abortion... Mbolea yenye calcium imeadimika humo.
Tafuta mbolea yenye calcium kwa wingi utumie, ukumbuke uwepo wa unyevu kwenye udongo ni muhimu ili mbolea iyeyuke na kufyonzwa kwa haraka kupitia mizizi.
Zingatia,. Usiweke mbolea karibu na shina, Kama miti ni mikubwa weka umbali wa mita 1.5 mpaka 3 kutoka shina lilipo. Ukiichimbia vishimo na kuifukia, kuzunguka mti.
Kabla au hatua za awali maua au matunda yanapoanza kuchomoza.Asante mkuu .Sasa iyo mbolea niiweke lini maana Kwa Sasa miti Haina hasta tundra Moja.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
The covert truth.Piga msumar au lichuma
Tutajie jina ya mboleaHio ni Abortion... Mbolea yenye calcium imeadimika humo.