Msaada: Maumivu chini ya kitovu

Msaada: Maumivu chini ya kitovu

Wakubwa nashkuru kwa ushaur wenu naufanyia kaz
 
Wakubwa habar nimekuwa nikisumbuliwa na kaumivu chini ya kitovu upande wa kushoto na korodani ya kushoto kwa takribani miez 3 tokd mwez 10 mwaka jana nilienda hospt nkaambiwa mkojo mchafu@uti nimetumia doz kibao pamoja na kuchoma pawe safe lakin bado hali ni tete msaada kwa wale wenye ufahamu na hili tatizo

Hiyo ni ngiri mkuu.yani hapo nenda hospitali nyingine wataalamu wapo wengi me mwenyewe nilikua nasumbuliwa na hilo tatizo na nikatibiwa nikapona mpaka sasa.pia zipo dawa za kienyeji zinazotibu hilo tatizo.
 
Wadau hiki kipimo kinachoitwa URINE MICROSCOPY kinapima nini na nini .msaada wadau
 
Back
Top Bottom