fimbombaya
Member
- Apr 11, 2011
- 47
- 12
Jamani heshima kwenu wote! Naheshimu mawazo na ushauri wenu., nina sumbuliwa na tatizo la kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa nikiwa ni mwanamke hali inayopelekea kutofurahia kabisa tendo ilo, mwanzon nilidhan ni maandaliz duni lakin kadiri navozidi ndo napata maumivu zaidi kiasi hata kushindwa kuendelea na raundi ya pili. Naombeni mnaofaham tiba pia ushauri ntapokea. Asanten