Msaada: Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

Msaada: Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

fimbombaya

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
47
Reaction score
12
Jamani heshima kwenu wote! Naheshimu mawazo na ushauri wenu., nina sumbuliwa na tatizo la kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa nikiwa ni mwanamke hali inayopelekea kutofurahia kabisa tendo ilo, mwanzon nilidhan ni maandaliz duni lakin kadiri navozidi ndo napata maumivu zaidi kiasi hata kushindwa kuendelea na raundi ya pili. Naombeni mnaofaham tiba pia ushauri ntapokea. Asanten
 
Pole kwa hilo! Ushauri wangu ni kwamba nenda hosptali ukapime uone pengne unauvimbe ktk uzaz! Nasema hv kwa sababu nina mpnz wang ambaye mara ya kwanza tulikuwa tunafurahia tendo hili la ndoa lkn baadae alianza kulalamika kuwa anasikia maumivuz so tumeenda hvyo hivyo lkn mwsh wa siku alikuwa analia sana kwa ile kitendo cha kuweka uume mwenzi wang alikuwa analia hivyo ikabid aende hosptal hiz wanazo tibu kwa dawa za kienyej ipo pale ILALA DSM, akapimwa kwanza ndo akaambiwa kuwa anauvimbe katka kizazi, so nenda hosptal ukapime uone nin chanzo
 
Hayo maumivu makali yanakupata sehwmu gani ya mwili?
 
nenda hosp.
kuna possibility una vikanga la una uvimbe kwenye uke. istoshe yawezekana the partner ni mkubwa zaid lol!!!
 
Jamani heshima kwenu wote! Naheshimu mawazo na ushauri wenu., nina sumbuliwa na tatizo la kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa nikiwa ni mwanamke hali inayopelekea kutofurahia kabisa tendo ilo, mwanzon nilidhan ni maandaliz duni lakin kadiri navozidi ndo napata maumivu zaidi kiasi hata kushindwa kuendelea na raundi ya pili. Naombeni mnaofaham tiba pia ushauri ntapokea. Asanten

Jaribu mwenye kibamia utafurahia
 
Pole sana
Wahi hospitali upate vipiomo na ushauri
 
Bibie.@fimbombaya Kabla ya kufanya tendo la ndoa ipake hiyo keki yako mafuta ya zaituni kisha mwambie huyo mume wako au bwana aile hiyo keki yako ya ajabu utaona raha tena hutosikia Maumivu. Mke wangu alikuwa na matatizo kama yako keki yake ipo kavu kiasi hata ukimchezea vipi haitowi maji dawa yake anaipaka mafuta ya Zaituni ipate kulainika kisha ndio mechi ya mpira inanza magoli ya kuwaga tu jaribu kisha uje unipe feedback.
 
nni tatizo jipya au toka uanze kufanya mapenzi?

je ni maumivu ya ukeni au tumbo la chini?

je kuna maji maji yoyote unatoa huko chini?
 
Kuna ogonjwa ambao ni common-PID nenda hospital na vizuri ufanya na ultrasound then kama ni huo kuna antibiotics uta[ewa mambo yatakuwa sawa....kama ni huo dr atakupa na ushauri kuhusu mwenza wako....
 
Jamani msaada wa kujua tatizo na tiba kwa anaejua.

Wife amekua akipata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa hali inayopelekea tusifurahie kabisa raha.

Mara nyingine amekua akinipa tu kwa hofu kuwa napokosa muda mrefu naweza mchiti jamani naombeni muongozo wa kujua tatizo na tiba sahihi.

Asanteni.
 
Labda dushelele lako kubwa mkuu kuliko papuchi
 
Bibie.@fimbombaya Kabla ya kufanya tendo la ndoa ipake hiyo keki yako mafuta ya zaituni kisha mwambie huyo mume wako au bwana aile hiyo keki yako ya ajabu utaona raha tena hutosikia Maumivu. Mke wangu alikuwa na matatizo kama yako keki yake ipo kavu kiasi hata ukimchezea vipi haitowi maji dawa yake anaipaka mafuta ya Zaituni ipate kulainika kisha ndio mechi ya mpira inanza magoli ya kuwaga tu jaribu kisha uje unipe feedback.

mkuu yanapatikana wapi?
 
hayo maumivu makali unayasikia sehemu gani,kama ni ke vipi uke unakua mkavu au wet vya kutosha?
 
Mafuta ya zaituni ni Oliver oil. But Mzizi mkavu kwa bibi huko hakutakiwi kuwekwa mavitu.
 
Habari waungwana,

Mimi ni KE,mara nyingi ninaposhiriki tendo la ndoa na mwenzangu huwa nahisi maumivu makali upande wa kulia wa tumbo.

Yani muscles zinakuwa zinakaza zinavuta yaani maumivu tu,wakati mwingine nakuwa nashindwa kushiriki nikihofia maumivu.

Hivi sababu inaweza kuwa nini?
 
Back
Top Bottom