fimbombaya
Member
- Apr 11, 2011
- 47
- 12
Jamani heshima kwenu wote! Naheshimu mawazo na ushauri wenu., nina sumbuliwa na tatizo la kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa nikiwa ni mwanamke hali inayopelekea kutofurahia kabisa tendo ilo, mwanzon nilidhan ni maandaliz duni lakin kadiri navozidi ndo napata maumivu zaidi kiasi hata kushindwa kuendelea na raundi ya pili. Naombeni mnaofaham tiba pia ushauri ntapokea. Asanten
Bibie.@fimbombaya Kabla ya kufanya tendo la ndoa ipake hiyo keki yako mafuta ya zaituni kisha mwambie huyo mume wako au bwana aile hiyo keki yako ya ajabu utaona raha tena hutosikia Maumivu. Mke wangu alikuwa na matatizo kama yako keki yake ipo kavu kiasi hata ukimchezea vipi haitowi maji dawa yake anaipaka mafuta ya Zaituni ipate kulainika kisha ndio mechi ya mpira inanza magoli ya kuwaga tu jaribu kisha uje unipe feedback.
Mafuta ya Zaituni yanapatikana kwenye maduka ya Super Market au kaulize kwa maduka ya wanayouza Dawa za Kisunna ukikosa nitafute mimi kwa Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.commkuu yanapatikana wapi?
Mafuta ya Zaituni yanapatikana kwenye maduka ya Super Market au kaulize kwa maduka ya wanayouza Dawa za Kisunna ukikosa nitafute mimi kwa Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com