Msaada: Maumivu na kuvimba kwa vifundo vya miguu

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
968
Salaam!!
Mzee wangu ana umri wa miaka 76 sasa. Amekuwa akisumbuliwa sana na maumivu makali na pia kuvimba kwa miguu (hasa ktk goti na ktk joints za vidole vya miguuni).

Tumempeleka hospitali mbalimbali, hawaoni ugonjwa, ila wanampatia dawa za kutuliza maumivu tu.

Mwenye idea yoyote, tafadhali tunaomba ushauri au experience yako kuhusu nini inaweza kuwa chanzo cha tatizo hili? Na tiba yake inaweza kuwa ni nini?

Eneo la joints za kidole gumba panapomuuma ni hapa View attachment 445900View attachment 445900
 
Arthritis (baridi yabisi)
Apewe vidonge vya aspirin vinasaidia
 
Kama upo DSM nenda hapo jmall 2nd floor waone Dynapharm watakusaidia.
 
Mchue wa mafuta ya Habal-soda(Black Seed Oil) yaliyochanganywa na mafuta ya nyonyo. Yanapatika kwenye maduka ya dawa za -kisuna kariakoo. Yanasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…