Mzee wangu ana umri wa miaka 76 sasa. Amekuwa akisumbuliwa sana na maumivu makali na pia kuvimba kwa miguu (hasa ktk goti na ktk joints za vidole vya miguuni).
Tumempeleka hospitali mbalimbali, hawaoni ugonjwa, ila wanampatia dawa za kutuliza maumivu tu.
Mwenye idea yoyote, tafadhali tunaomba ushauri au experience yako kuhusu nini inaweza kuwa chanzo cha tatizo hili? Na tiba yake inaweza kuwa ni nini?
Eneo la joints za kidole gumba panapomuuma ni hapa View attachment 445900View attachment 445900