Msaada maumivu ya jino jaman

Msaada maumivu ya jino jaman

famba

Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
71
Reaction score
4
Nasumbuliwa na maumivu ya jino na sitataki kung'oa mana niking'oa ni jino la pili, je naweza pata dawa na jino likapona kabisa bila kung'oa
 
Nasumbuliwa na maumivu ya jino na sitataki kung'oa mana niking'oa ni jino la pili, je naweza pata dawa na jino likapona kabisa bila kung'oa
binafsi sijaiona dawa ya jino zaidi ya zile za kutuliza
maumivu tu. Ushauri wangu bora ukalitoe tu bora uwe kibogoyo kuliko jino bovu.
 
Nenda Clinic ya Meno, Dentist akilikagua atakupa ushauri nini cha Kufanywa - Mfano kuna Kuliziba kama halijaharika sana au Kulingoa.
 
Pole sana! Kuna dawa zinasaidia sana tatizo lako! Jaribu kutafuta aloe activator na forever bright tooth gel! Then ni pm nkuelezee namna ya kutumia
 
Hata mimi pia nahitaji kujua dawa naomba msaada wa maelekezo.
 
Ok! Unachukua kias kidogo cha aloe activator unasukutua kutwa mara mbili tahadhari usimeze na forever bright unaitumia kupiga mswaki! Kutwa mara mbili, ukifuata haya maelezo tatizo la meno kuuma utasahau.unaweza kunitafuta 0752720276
 
Ok! Unachukua kias kidogo cha aloe activator unasukutua kutwa mara mbili tahadhari usimeze na forever bright unaitumia kupiga mswaki! Kutwa mara mbili, ukifuata haya maelezo tatizo la meno kuuma utasahau.unaweza kunitafuta 0752720276
Your prescription doesn't work. I tried it some years ago, and had to extract the tooth after getting no relief.
 
Kula hedex kwa wingi kama vipi weka na amoxline kama wiki hivi kuua bacteria.
 
kalitoe hilo jino acha utoto unakaa kinywani na mimemo imeoza na kutoboka ya nini?
 
Kwa anaezifahamu ndulele ni tiba nzuri sana ya jino!
Unachukua ndulele 3 au 6,unachukua sufuria unaweka vikombe 6 vya maji,limao 3,unadondoshe na mafuta ya taa kiasi zikiwemo na hizo ndulele!
Then chemsha hayo maji kwa muda usiopungua dakika 15!Yatoe maji kwenye moto acha yapoe!
Tumia hayo maji kusukutua kutwa mara 3!
 
Pole ndugu
Niliwahi kushuhudia mgonjwa wa jino kwa kweli ni mateso ila ukipata dawa utayasahau
Usichoke kutafuta hata kama si humu.
 
hakuna cha forever living wala nini dawa ya jino kulitoa utapoteza hela yako bure mimi hapa dawa zote nilijaribu nikaishia kulia machozi siku mfupa ulipogusa hilo jino ,jino linalouma halian dawa ,dawa yake kulitoa
 
Dawa ya jino kung'oa ndugu yangu...yaani ni sawasawa na mgonjwa mahututi anapumulia mashine,..pale mnamuongezea muda tu wa kuishi...kuziba au kutumia dawa za maumivu ni kuhairisha tu matatizo..kang'oe..
 
Back
Top Bottom