Msaada: Maumivu ya kiuno yananitesa

Msaada: Maumivu ya kiuno yananitesa

hilohilo

New Member
Joined
Feb 15, 2019
Posts
4
Reaction score
0
Naomba msaada kwani Mimi nasumbuliwa namaumivu ya kiuno mpaka chini ya tako kuelekea kwenye mguu tatizo huwa nini na matibabu yake dawa gani naweza kutumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole nenda hospitali,

Je unainua vitu vizito,

Jaribu kucheki pia UTI inaweza kuwa sababu.
 
Write your reply...mkuu na mm nasumbuliwa na tatizo kama lako mwaka wa pili sasa.

Hebu tuchekiane 0759955600 tujadiliane,
 
Back
Top Bottom