Msaada: Maumivu ya Magoti Yaninisumbua!

Msaada: Maumivu ya Magoti Yaninisumbua!

Mtandaoni

Senior Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
132
Reaction score
64
Wapendwa Wana JF, Habari za Leo,

Naomba msaada kutoka kwa wale wataalamu wa kutibu ugonjwa wa magoti. Nina tatizo hili, na hata kuchuchuma nahisi maumivu makali.

Je, ni dawa gani ningeweza kutumia, ndugu zangu? Msaada wenu unahitajika.

Sent from my 23028RNCAG using JamiiForums mobile app
 
Maumivu ya goti yanayofanya mtu kushindwa kuchuchumaa yanaweza kusababishwa na mambo kadhaa, ikiwa ni pamoja na:

1. Osteoarthritis: Huu ni ugonjwa wa kupungua kwa tishu laini zinazozunguka viungo vya goti, na kusababisha maumivu, uvimbe, na ugumu wa goti.

2. Patellar tendinitis: Hii ni hali inayosababishwa na kuvimba kwa kano ya patella, ambayo hujulikana kama "jumper's knee." Mara nyingi hutokea kwa watu wanaofanya mazoezi ya kukimbia au kuruka sana.

3. Chondromalacia patellae: Inatokea wakati wa uharibifu wa giligili laini inayozunguka sehemu ya mbele ya goti, hasa kwenye "cap" ya goti, na inaweza kusababisha maumivu makali hasa wakati wa kuchuchumaa.

4. Ugonjwa wa goti la mbele (Anterior knee pain syndrome): Hii ni hali ambayo husababisha maumivu upande wa mbele wa goti na inaweza kuwa mbaya zaidi wakati unachuchumaa au unapanda ngazi.

5. Mishipa ya goti iliyovutika au majeraha ya meniscus: Mishipa na meniscus ni sehemu za goti zinazosaidia katika utulivu na harakati zake. Majeraha ya maeneo haya yanaweza kusababisha maumivu wakati unajaribu kuinama au kuchuchumaa.

6. Ugonjwa wa maambukizi au uvimbe (bursitis): Maambukizi au uvimbe kwenye viungo vya goti unaweza kusababisha maumivu na kushindwa kuchuchumaa.

Kama maumivu yanaendelea, ni vyema kumuona daktari kwa uchunguzi wa kina ili kubaini chanzo halisi na kupata matibabu sahihi.
 
Toa maelezo yaliyo kamilika...

Dawa siyo suluhisho la tatizo ✍️✍️
 
Pole sana mkuu wangu, emu nenda duka la dawa nunua Meloxicam 15 mg, Meza kimoja kwa siku ndani ya siku 3 utaona mabadiliko makubwa.
Kidonge kimoja huuzwa Tshs. 500

Endapo maumivu yataendelea muone daktari kwa matibabu zaidi.
 
Asante kwa ushauri wako

Wazee wa Chatgpt
 
Pole sana mkuu wangu, emu nenda duka la dawa nunua Meloxicam 15 mg, Meza kimoja kwa siku ndani ya siku 3 utaona mabadiliko makubwa.
Kidonge kimoja huuzwa Tshs. 500

Endapo maumivu yataendelea muone daktari kwa matibabu zaidi.
Asante kwa ushauri wako mkuu

Sent from my 23028RNCAG using JamiiForums mobile app
 
Acha kula nyama nyekundu
Kula bamia kwa wingi
 
una uric acid ya kutosha
●Acha kabisa kula nyama yoyote
samaki wabaharini dagaa wa baharini wanakiwango kikubwa cha kusababisha uric acid,
●Samaki wa maji baridi stop
●Acha kabisa soda...
baada ya mwezi njoo hapa ueleze kama una maumivu tena
 
Wapendwa Wana JF, Habari za Leo,

Naomba msaada kutoka kwa wale wataalamu wa kutibu ugonjwa wa magoti. Nina tatizo hili, na hata kuchuchuma nahisi maumivu makali.

Je, ni dawa gani ningeweza kutumia, ndugu zangu? Msaada wenu unahitajika.

Sent from my 23028RNCAG using JamiiForums mobile app
Pole kwa changamoto unayopitia
.
Swali la msingi kwako, vipi umeshaonana na wataalam wa afya(doctors)?

Kama jibu ni hapana...Umeanza vibaya kutafuta suluhisho la tatizo lako. Waone kwanza hao.

Huku Mtandaoni utakuja kutafuta ushauri wa ziada baada ya hao kugonga mwamba.
 
Tumia bamia zitakusaidia
Hamjielewi, bamia hizo afanyiwe upasuaji ziingizwe ndani ya magoti?au sababu bamia zinaleta utelezi,mnahisi ule utelezi moja kwa moja unaenda kwenye magoti? Bamia kwa vidonda vya tumbo sawa.
 
Pole kwa changamoto unayopitia
.
Swali la msingi kwako, vipi umeshaonana na wataalam wa afya(doctors)?

Kama jibu ni hapana...Umeanza vibaya kutafuta suluhisho la tatizo lako. Waone kwanza hao.

Huku Mtandaoni utakuja kutafuta ushauri wa ziada baada ya hao kugonga mwamba.
Ni sawa jibu ni Hapana cjaonana na doctor, lakin Nashukuru kwa ushauri wako

Sent from my 23028RNCAG using JamiiForums mobile app
 
Wapendwa Wana JF, Habari za Leo,

Naomba msaada kutoka kwa wale wataalamu wa kutibu ugonjwa wa magoti. Nina tatizo hili, na hata kuchuchuma nahisi maumivu makali.

Je, ni dawa gani ningeweza kutumia, ndugu zangu? Msaada wenu unahitajika.

Sent from my 23028RNCAG using JamiiForums mobile app
1. Acha kabisa bidhaa zenye sukari.
2. Fanya mazoezi
3. Punguza kula vyakula vya wanga
4. Kula matunda na mboga za majani kwa wingi.
5. Funga mara moja moja. Fasting ni tiba isiyosemwa.
6. Kula nuts kama almonds, Karanga, chia seeds.
7. Acha kula bidhaa za madukani kama juice, biscuit, pipi, ballgums etc.
8. Acha pombe.
 
Wapendwa Wana JF, Habari za Leo,

Naomba msaada kutoka kwa wale wataalamu wa kutibu ugonjwa wa magoti. Nina tatizo hili, na hata kuchuchuma nahisi maumivu makali.

Je, ni dawa gani ningeweza kutumia, ndugu zangu? Msaada wenu unahitajika.

Sent from my 23028RNCAG using JamiiForums mobile app
Bila dr kukufanyia diagnosis hapa utakuwa unapiga ramli tu. Nedna kwanza hospital ufanyiwe diagnosis na dr mzuri, kama tatizo halitaisha basi ndiyo unaweza kuja hapa ukiwa na data kamili za tatizo ili upate mawazo na experince kutoka kwa wadau.
 
Back
Top Bottom