Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Ni makosa kutafuta dawa pasipo kujua chanzo au kiini kinachopelekea kupata hayo maumivu.Je, ni dawa gani ningeweza kutumia, ndugu zangu? Msaada wenu unahitajika.
Njia sahihi:
- Fika hospitali - Acha daktari afanye kazi yake na atakujulisha chamzo au kiini cha tatizo na atakuapa dawa stahiki.
- Kama kuna dawa zozote umewahi kutumi - Ni vyema ukaweka wazi kwa Daktari husika.