Msaada: Maumivu ya Magoti Yaninisumbua!

Je, ni dawa gani ningeweza kutumia, ndugu zangu? Msaada wenu unahitajika.
Ni makosa kutafuta dawa pasipo kujua chanzo au kiini kinachopelekea kupata hayo maumivu.

Njia sahihi:
  • Fika hospitali - Acha daktari afanye kazi yake na atakujulisha chamzo au kiini cha tatizo na atakuapa dawa stahiki.
  • Kama kuna dawa zozote umewahi kutumi - Ni vyema ukaweka wazi kwa Daktari husika.
 
Uzito pekee haijitoshelezi.

Huwa ni:
  • Uzito wako
  • Kimo chako
Ndio utapata BMI sahihi.

Yamkini 83kg kwa kimo chako ni uzito sahihi. Hicyo lazima uweke hapa vipimo vyote, uzito na urefu ndio utashauriwa iwapo uzito umezidi au la!

Pole sana kwa hayo maumizvu.
 
Shuran,

Sent from my 23028RNCAG using JamiiForums mobile app
 
Ndugu Mtandaoni, kuulizia Dawa mtandaoni, sio sahihi, sababu kila mwana_Mtandaoni aliyewahi kuwa na hiyo changamoto atataja dawa yake iliyomsaidia pasipo kutaja kiini cha tatizo lake yeye au wewe.

Hivyo kama wana_mtandaoni 100 kila mmoja akataja dawa yake, utakuwa na aina zaidi ya dawa 100. Je nini kitafuta ndugu Mtandaoni baada ya kuzijua dawa zote hizo.

Nenda hospitali acha mchezo na afya yako.
 
Hamjielewi, bamia hizo afanyiwe upasuaji ziingizwe ndani ya magoti?au sababu bamia zinaleta utelezi,mnahisi ule utelezi moja kwa moja unaenda kwenye magoti? Bamia kwa vidonda vya tumbo sawa.
Hakika una uelewa wa kutosha Sana.Mtu tayari ameshaarika hawezi kutumia bamia zikamsaidia Maana haiendi kutengeneza uteute wa moja kwa moja Kama ambavyo wengi hufikri.Kula bamia ni mhimu kwa kila mtu ili uendelee kuimarisha afya yako ya magoti lakini siyo tiba ya moja kwa moja kwa mtu ambaye tayari magoti yameathirika.Hii no sawa na kuugua malaria halafu ukataka kupona kwa kulala kwenye chandarua badala ya kutibu Kwanza tatizo halafu Sasa ukaendelea kujikinga.
 
Yeah,umeleezea vizuri mkuu
 
97.9% ni namba moja hapo kama ukitumia hizo meloxicam na bado ikawa hausaidiki nifuate PM ujiandae na Surgery
 
Mimi ninavyopenda dagaa na sato mbona hapo umenimaliza kabisa?🤣🤣
 
Mimi ninavyopenda dagaa na sato mbona hapo umenimaliza kabisa?🤣🤣
nilienda hosp nimebebwa .siwez kukaa kbs..Dk aliponiona weight yangu akaniambia acha coca na hayo mazagazaga .sijui alijua mm mlevi wa coca! aise niliweweseka .nikaachabwiki 2 mzima kbs .mpk leo nadunda ila coca nimeshindwa kuacha
 
nilienda hosp nimebebwa .siwez kukaa kbs..Dk aliponiona weight yangu akaniambia acha coca na hayo mazagazaga .sijui alijua mm mlevi wa coca! aise niliweweseka .nikaachabwiki 2 mzima kbs .mpk leo nadunda ila coca nimeshindwa kuacha
Mimi nilikuwa mtu wa kula pipi 200 kwa siku, sukari kwenye chai nusu kikombe, mkate 1 breakfast peke yangu, supu, nyama choma, bia asubuhi mchana na jioni. Rafiki yangu mmoja akanishauri nipunguze, akisema "usiposhauriwa na mimi utashauriwa na daktari". Nikatafakari, nikaamua kuachana na pipi, sukari (vijiko vidogo viwili tu), mkate slices 2 au 3 tu, nikaachana na supu, bia nimeacha pia (kwa hiari) na nafanya mazoezi ya kuruka kama kuruka kamba (akini bila kamba) - asubuhi naruka mara 1,000 na pushup 30 na jioni pia mara 1,000 na pushup 30, then napumzika kama dk 10-15, kisha naoga. Safi sana!
 
Kama sio gout bas uric acid
 
duh..mara 1000 wewe sio mwenzetu aise..hongera sana kujali afya yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…