asante, kuna hospitali yoyote ambayo ni maalumu kwa hilo tatizo la disk?kapime uti wa mgongo, huenda kuna disc inatatizo
mi sio muumini wa hili jambo mkuu, huu ni ugonjwa tu umejitokezaAcha punyeto
ndugu zangu, yapata miezi 5 sasa nasumbuliwa na tatizo la kuumwa sana kwa mgongo ( kwenye maungio kati ya uti wa mgongo na nyonga) chakushangaza nikiwa na hayo maumivu, mashine inakua ya baridi mnoo na nikiwa kwa bed na shemeji yenu baada ya round ya kwanza nachelewa sana kurudia yaweza kuchukua hata masaa 3. Ila nikitumia pain killer yoyote ya mgongo mashine inarudi kwenye hali yake na nakua fresh tu. Hii hali inanichanganya sana naomba kwa mwenye kujua hili tatizo anisaidie, nawasilisha
thanx mkuuMkuu nenda hospitali kucheki huenda kuna shida katika mafigo.-- lakini nenda kucheki kwanza.
Muhimbili ndo nzuri nadhani, kama utaweza fanya kipimo cha MRIasante, kuna hospitali yoyote ambayo ni maalumu kwa hilo tatizo la disk?
ndugu zangu, yapata miezi 5 sasa nasumbuliwa na tatizo la kuumwa sana kwa mgongo ( kwenye maungio kati ya uti wa mgongo na nyonga) chakushangaza nikiwa na hayo maumivu, mashine inakua ya baridi mnoo na nikiwa kwa bed na shemeji yenu baada ya round ya kwanza nachelewa sana kurudia yaweza kuchukua hata masaa 3. Ila nikitumia pain killer yoyote ya mgongo mashine inarudi kwenye hali yake na nakua fresh tu. Hii hali inanichanganya sana naomba kwa mwenye kujua hili tatizo anisaidie, nawasilisha
thanx sana wakuu kwa msaada, ila wakuu hv unaweza kutoka from no where tu ukaenda moja kwa moja muhimbili au lazima uanze hospital ndogo kwanza, coz cjawahi kwenda muhimbili hata cku moja
naipataje hii nduguTumia Juice ya kiasili inayoitwa POWER ASILI, itamaliza matatizo yako yote mawili, ila usisahau kutupa mrejesho