Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu badala ya kumpa dawa ya kutibu maradhi yake ya mgongo na kiuno wewe unampa dawa ya kuongeza nguvu za kiume ? Vipi wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu badala ya kumpa dawa ya kutibu maradhi yake ya mgongo na kiuno wewe unampa dawa ya kuongeza nguvu za kiume ? Vipi wewe?
Inapatikana wapiTumia Juice ya kiasili inayoitwa POWER ASILI, itamaliza matatizo yako yote mawili, ila usisahau kutupa mrejesho
Nataraji kuona comment yakoMkuu badala ya kumpa dawa ya kutibu maradhi yake ya mgongo na kiuno wewe unampa dawa ya kuongeza nguvu za kiume ? Vipi wewe?
Nenda kapime kwanza tupate kujuwa chanzo cha maradhi yako ni nini? kisha uje hapa utupe majibu yako tupate kukupa ushauri mzuri.Ndugu zangu, yapata miezi 5 sasa nasumbuliwa na tatizo la kuumwa sana kwa mgongo ( kwenye maungio kati ya uti wa mgongo na nyonga) chakushangaza nikiwa na hayo maumivu, mashine inakua ya baridi mnoo na nikiwa kwa bed na shemeji yenu baada ya round ya kwanza nachelewa sana kurudia yaweza kuchukua hata masaa 3.
Ila nikitumia pain killer yoyote ya mgongo mashine inarudi kwenye hali yake na nakua fresh tu. Hii hali inanichanganya sana naomba kwa mwenye kujua hili tatizo anisaidie.
Nawasilisha
Haya MkuuNataraji kuona comment yako
Inapatikana wapi
Mkuu badala ya kumpa dawa ya kutibu maradhi yake ya mgongo na kiuno wewe unampa dawa ya kuongeza nguvu za kiume ? Vipi wewe?
Nataraji kuona comment yako
cjakwelewa ndugiMagomeni Mapipa ukivuka mataa upande wa kushoto Karibu na msikiti