Msaada: Maumivu ya mkojo

Avelina

Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
70
Reaction score
11
Habari zenu wanaJF!

Nimekuwa msomaji wa topic za wengine kila mara na mimi leo nimekuja kuomba ushauri!

Kuna mchepuko nilichepuka nao baada ya siku tatu kupita nimepata tatizo la kupata maumivu ya mkojo(mwishoni).

Je hili litakuwa ni tatizo gani lakini tulitumia kondom .

WanaJF naomba ushauri na tiba yake!
 
Njoo na huyo uliyechepuka naye tuwape ushauri kwa pamoja.
 
Nenda hospitli... inaweza ikawa UTI
 
Madhara ya kuendekeza ngono zembe ndiyo hayo,umeishaikwaa kaswende.
 
Nenda Hospital, kama waona aibu nenda ya mbali usiyofahamika.
 
wakuu nikinywa maji kwa sana naona hali hii inapungua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…