Sana mkuu yaan puri ukiendekeza nyonga haipoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani puri inasababisha hzo vitu ama ni maradhi tu kama yalivyo mengine
Daaa upo vema mkuuu hatarini kusimama na kukaa vibaya kwa muda mrefu, na zile style za ajabu ajabu kwenye mechi za kitandani.
Tiba ni mazoezi tu, ya kutembea, kupanda ngazi, na kukimbia kidogo kidogo.
Ukisimama, simama wima, ukikaa kalia matako yote vizuri, ukiwa kwenye mechi piga missionary style (kama huijui google), au shem awe juu, sio doggy au sarakasi nyingine,.... Mpaka ukipona kabisa