Msaada: Maumivu ya nyonga kwa mwanaume chanzo na tiba

kankara

Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
25
Reaction score
17
Mimi ni Kijana umri miaka 32 Kwa muda wa Wiki nzima mfululizo ninapata maumivu makali kwenye nyonga yanashuka mpaka kwenye paja natembea kwa shida sana.
Naombeni msaada kwa wenye uelewa na haya mambo maana hii hali inanipa shida sana kutembea kuelekea kwenye mihangaiko na maumivu makali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani puri inasababisha hzo vitu ama ni maradhi tu kama yalivyo mengine
 
Sana mkuu yaan puri ukiendekeza nyonga haipoi
 
kwaiyo ili tatizo litaisha lenyewe tu baada ya kuchek u.t.i maana maumivu si mchezo
 
ni kusimama na kukaa vibaya kwa muda mrefu, na zile style za ajabu ajabu kwenye mechi za kitandani.

Tiba ni mazoezi tu, ya kutembea, kupanda ngazi, na kukimbia kidogo kidogo.

Ukisimama, simama wima, ukikaa kalia matako yote vizuri, ukiwa kwenye mechi piga missionary style (kama huijui google), au shem awe juu, sio doggy au sarakasi nyingine,.... Mpaka ukipona kabisa
 
nashkuru kwa ushaur wakuu na ninaufanyia kazi hasa ili la kufanya mazoezi na kustop pull
 
ni kusimama na kukaa vibaya kwa muda mrefu, na zile style za ajabu ajabu kwenye mechi za kitandani.

Tiba ni mazoezi tu, ya kutembea, kupanda ngazi, na kukimbia kidogo kidogo.

Ukisimama, simama wima, ukikaa kalia matako yote vizuri, ukiwa kwenye mechi piga missionary style (kama huijui google), au shem awe juu, sio doggy au sarakasi nyingine,.... Mpaka ukipona kabisa
Daaa upo vema mkuuu hatari
 
Back
Top Bottom