Msaada maumvi makali china ya mbavu karibu na mgongo usawa wa figo

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu msaada wenu nna maumivu makali sana sehemu ya chini zinapoanzia mbavu kuja nyuma katika mgongo nahis usawa wa figo...maumivu makali yakuja nakupotea nikinywa maji mengiii maumivu yanapotea
Kinywa maji labda lita4 nkianza kukojoa weee mpaka mkojo uishe baadae ntaanza his maumivu yanaanza upya
 
Pole Mkuu, Hii hali huwa inanikumba wakati flan.
Huwa nahisi ni maumicu ya Figo pia kama wewe.
Sijachukua hatua yotote ila kukutana na huu uzi imenifanya nitilie Maanani.
Ukipata ufahamu zaidi leta jamvini nitajitahidi pia kufuatilia zaidi.
 
Habar wakuu msaada wenu nna maumivu makali sana sehemu ya chini zinapoanzia mbavu kuja nyuma katika mgongo nahis usawa wa figo...maumivu makali yakuja nakupotea nikinywa maji mengiii maumivu yanapotea
Kinywa maji labda lita4 nkianza kukojoa weee mpaka mkojo uishe baadae ntaanza his maumivu yanaanza upya
Figo & Kibofu cha Mkojo

Nenda kacheck hospitalini watakupa dawa ya bakteria hao wanakutafuna na kuchekecha Figo na Kibofu cha Mkojo

Kuna dawa za bakteria utapewa baada ya vipimo chanzo ni hayo maji unayokunywa mimaji ya bomba dawasa sio salama kwa kunywa ni salama kwa kuogea tu maana ni maji ya mtoni
 
Hiyo kama dalili za UTI ya juu. Kapime uanze kutumia dawa.
 
Figo & Kibofu cha Mkojo

Nenda kacheck hospitalini watakupa dawa ya bakteria hao wanakutafuna na kuchekecha Figo na Kibofu cha Mkojo

Kuna dawa za bakteria utapewa baada ya vipimo chanzo ni hayo maji unayokunywa mimaji ya bomba dawasa sio salama kwa kunywa ni salama kwa kuogea tu maana ni maji ya mtoni
Nimefika zahanati mda huu nimepima ultrasound nimeonekana figo zangu Zina ungavu uangavu flani
 
Sawa vipimo vinasemaje au umejipima mwenyewe?
Nikakipimo flan la ultrasound kako kama laptop so alinipakaa mafuta akawa anapima ndo akawa anaona hivo kuwa figo Zina uangavu angavu Fulani haziko katika rangi yake yakawaida
 
Ulirudi tena kwa dr?na alikwambiaje?
Au ulipopata majibu tu ukasepa nayo?
 
MATIBABU MENGINE NI KUNYWA MAJI MENGI,KUFANYA MAZOEZI NA KULALIA GODORO BORA
 
Back
Top Bottom