malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Pole Mkuu, Hii hali huwa inanikumba wakati flan.Habar wakuu msaada wenu nna maumivu makali sana sehemu ya chini zinapoanzia mbavu kuja nyuma katika mgongo nahis usawa wa figo...maumivu makali yakuja nakupotea nikinywa maji mengiii maumivu yanapotea
Kinywa maji labda lita4 nkianza kukojoa weee mpaka mkojo uishe baadae ntaanza his maumivu yanaanza upya
My wangu ni vimplo? 😂Nenda hospital kabla haijawa too late
Micasa saa ngapi sasaMy wangu ni vimplo? 😂
Figo & Kibofu cha MkojoHabar wakuu msaada wenu nna maumivu makali sana sehemu ya chini zinapoanzia mbavu kuja nyuma katika mgongo nahis usawa wa figo...maumivu makali yakuja nakupotea nikinywa maji mengiii maumivu yanapotea
Kinywa maji labda lita4 nkianza kukojoa weee mpaka mkojo uishe baadae ntaanza his maumivu yanaanza upya
Ushaamka? 😂 Giza likiingia ntakuwa hapo.Micasa saa ngapi sasa
Yeah nipo mtaani nowUshaamka? 😂 Giza likiingia ntakuwa hapo.
Nimefika zahanati mda huu nimepima ultrasound nimeonekana figo zangu Zina ungavu uangavu flaniFigo & Kibofu cha Mkojo
Nenda kacheck hospitalini watakupa dawa ya bakteria hao wanakutafuna na kuchekecha Figo na Kibofu cha Mkojo
Kuna dawa za bakteria utapewa baada ya vipimo chanzo ni hayo maji unayokunywa mimaji ya bomba dawasa sio salama kwa kunywa ni salama kwa kuogea tu maana ni maji ya mtoni
Sawa vipimo vinasemaje au umejipima mwenyewe?Sasjajua huu uangavu uangavu unatokana na nin
Nikakipimo flan la ultrasound kako kama laptop so alinipakaa mafuta akawa anapima ndo akawa anaona hivo kuwa figo Zina uangavu angavu Fulani haziko katika rangi yake yakawaidaSawa vipimo vinasemaje au umejipima mwenyewe?
Nikakipimo flan la ultrasound kako kama laptop so alinipakaa mafuta akawa anapima ndo akawa anaona hivo kuwa figo Zina uangavu angavu Fulani haziko katika rangi yake yakawaida
hospital ambazo unaenda kuambiwa una typhoid ,,unaenda nyingine wanakuambia huna typhoid una AMOEBANa hapo ulipo hospital hazipo?
USIAMINI SANA HOSPITAL MOJA CHIEFNimefika zahanati mda huu nimepima ultrasound nimeonekana figo zangu Zina ungavu uangavu flani