Msaada: Mawazo yanaweza pelekea kushindwa kupata mtoto?

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
385
Reaction score
104
Habari wanajamvi,

Nilifiwa mtoto tarehe 22.4.2015, akiwa na miezi 8. Nimeishi kwa majonzi mno mpaka watu wakaniambia naweza kosa mtoto tena.

Je, ni kweli kwamba ukiwaza sana unakosa mtoto?
 
Dah......pole sana.......jitahidi kuvumilia yote ni kazi ya Mungu........
Mtoto utapata mwingine usijali...........
 
Kwanza pole kwa msiba, pili, mawazo kupita kiasi kwa asilimia ndogo inaweza athiri uwezo wa kupata mtoto ila hakuna utafiti unaojulikana mpaka saivi.

Na inasemekana kuwa mawazo husababisha homonoikama {epinephrine au cortisone} kuwa kwa kiwango kikubwa kwenye damu kwa mda mrefu kitu ambacho hufanya mwili kujitahidi kutumia sukari nyingi[ATP] ambazo nyingine utengenezwa kutoka kwenye protini iliyoifadhiwa mwilini ikiwemo ya kwenye mfuko wa uzazi hivyo icho kitendo kinaathiri uwezo.

Pia mawazo mengi yanaweza kuchelewesha au kuwaisha uwezo wa ovari kurutubisha yai kwasababu mawazo yanaingiliana na mzunguko wa homoni za kike kwenye hypothalamus. ivyo nncho kuomba japokuwa kifo sio kitu cha kawaida tena ilaa jaribu kusahau sababu kumeshatokea na angalia mbele uweze kufanya mambo mengine.
 
Asante sana Leloic. Nashukuru kwa ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom