Labda haya mayai ya plasti ya kisasa sio mazuri.Baadhi ya wataalamu wana suggest kula mayai kwani yana boost metabolism.Mayai yana asilimia kubwa ya mafuta ambayo ni mazuri( monosaturated) kuliko yale yasiyotakiwa mwilini unsaturated fat. Hata hivyo watu wengine wanashairi kula ile sehemu nyeupe na kuacha kiini.
kwa msaada zaidi unaweza google.Na pia fuata ushauri wa mazoezi, punguza sukari, acha soda na vyakula vya kiwandani tumia zaidi vyakula nechuro kama ugali wa donana viazi