tricecriss
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 225
- 59
Kuna connction gani kati ya uzito na ulaji wa mayai?maana nimekuwa na uzito wa ajabu na nilipouliza nini sababu nikaulizwa kama nakula sana mayai,na nikaambiwa kuwa ndio sababu ya kuongezeka kwa uzito,swali ni kwamba ni kweli mayai yanaongeza uzito na nifanyaje ili upungue?