Wakuu naomba mnisaidie Mazda Demio DY3Y imekata fenibelt na sijajua wapi kipande kimedondokea, naomba kujua ni saizi gani na Bei yake ni kiasi gani na ni wapi naweza kupata. Ahsante
Kwani kasema yupo Kigoma?Kwa hapo Kasulu itakubidi ufike Kigoma mjini...
Kwani kasema yupo Kigoma?
Sawa, nipo Dar Es Salaam mkuu, majukumu yamebana sana, gari lipo nyumbani Kuna fundi aliniambia lazima nijue size ya belt ndio nitafute.haja Jamii forum garage at least mnisaidie ABC ...Ndio aseme sasa alipo...
... jaribu kutembelea maduka ya spea za Ford hususan Ford Escape spea zake nyingi zinaingiliana na Mazda Demio na hata mtengenezaji wa hizo gari ni mmoja - Mazda Japan. Kuna huyu mwamba JituMirabaMinne ni wa msaada sana linapokuja suala la magari na vikorokoro vyake; hope atakusaidia.Sawa, nipo Dar Es Salaam mkuu, majukumu yamebana sana, gari lipo nyumbani Kuna fundi aliniambia lazima nijue size ya belt ndio nitafute.haja Jamii forum garage at least mnisaidie ABC ...
Nashukuru mkuu.... jaribu kutembelea maduka ya spea za Ford hususan Ford Escape spea zake nyingi zinaingiliana na Mazda Demio na hata mtengenezaji wa hizo gari ni mmoja - Mazda Japan. Kuna huyu mwamba JituMirabaMinne ni wa msaada sana linapokuja suala la magari na vikorokoro vyake; hope atakusaidia.
Sawa, nipo Dar Es Salaam mkuu, majukumu yamebana sana, gari lipo nyumbani Kuna fundi aliniambia lazima nijue size ya belt ndio nitafute.haja Jamii forum garage at least mnisaidie ABC ...
Nashukuru mkuu
Ingia hiyo link, search model ya gari yako unaweza kusaidika...
Utaona spare yoyote then zama Shaurimoyo Ilala kule
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaan umenifanya nirudi jusoma tena maelezo ya jamaa ili nione hyo kasulu kaitaja wap mbona sikuionaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], umenipata aiseeKwa hapo Kasulu itakubidi ufike Kigoma mjini...