Msaada: Mazda Demio DY3Y imekata Fenbelt

Msaada: Mazda Demio DY3Y imekata Fenbelt

HARVESTER

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
287
Reaction score
243
Wakuu naomba mnisaidie Mazda Demio DY3Y imekata fenibelt na sijajua wapi kipande kimedondokea.

Naomba kujua ni saizi gani na Bei yake ni kiasi gani na ni wapi naweza kupata.

Ahsante
 
Sawa, nipo Dar Es Salaam mkuu, majukumu yamebana sana, gari lipo nyumbani Kuna fundi aliniambia lazima nijue size ya belt ndio nitafute.haja Jamii forum garage at least mnisaidie ABC ...
... jaribu kutembelea maduka ya spea za Ford hususan Ford Escape spea zake nyingi zinaingiliana na Mazda Demio na hata mtengenezaji wa hizo gari ni mmoja - Mazda Japan. Kuna huyu mwamba JituMirabaMinne ni wa msaada sana linapokuja suala la magari na vikorokoro vyake; hope atakusaidia.
 
Nashukuru mkuu.
 
Kwa hapo Kasulu itakubidi ufike Kigoma mjini...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaan umenifanya nirudi jusoma tena maelezo ya jamaa ili nione hyo kasulu kaitaja wap mbona sikuionaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], umenipata aisee
 
Back
Top Bottom