Msaada: Mbali na tarehe ya kuzaliwa, namba nyingine kwenye NIN zina maana gani?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari Wakuu.

Naomba msaada kwa anaefahamu format ya namba ya utambulisho NIN kwenye kitambulisho cha taifa anijulishe maana ya makundi mbalimbali ya namba ukiacha tarehe ya kuzaliwa.

Sikuweza kupata maelezo mtandaoni.
 
Wewe ni mtu wa ngapi kujisajiri, namba ya mkoa, na namba ya wilaya.
 
Namba tano zinazofuata baada ya tarehe ya kuzaliwa ni post code (namba ya eneo ulipoandikishwa)
 
Mfano
19810701.50041 .00001.01

19810701.....kuna mwaka wa kuzaliwa.mwenzi na Tarehe.

50041....hii ni anuani ya makazi...no ya mwanzo inaonyesha zone 5 na hizi zipo zone saba na ya ni zanzibar
Mfano 10000 hi ni Dar es salaam zone imechukuwa ilalacbd,ilala, kinondoni,temeke, ubungo, kigamboni

20000.zone ya North....Tanga,kilimanjaro, Arusha,Manyara,

30000.zone ya lake ..mara mwanza, shinyanga kagera geita simiyu

40000.central zone ....Dodoma singida Tabora kigoma

50000 Southern Highlands.zone katavi Rukwa mbeya iringa njombe Ruvuma

60000 coast zone ...coast Morogoro lindi mtwara

70000 zanzibar coast ..urban west ,unguja North unguja South pembe North pemba South

Sasa ukiona kitambulisho chako kimeaza hapo kwenye postkode 7 unakua umetokea wapi au umechukulia wapi kama 6 au 5 mfano labda wewe kimeaza na 4 najua Central zone

Mfano 20000 hii ni Northern ila kumbuka Northern inamikoa 4 ....kwa kuazia tunaaza na Tanga kwavile wote 20000 ni Northern tunagawa hapa
Tanga 21000
Arusha 23000
Kilimanjaro 25000
Manyara 27000
So no ya kwanza kama unakumbuka tumesema ni zone sasa ya pili itakuwa ni Region name

No ya tatu katika postcode ni wilaya

Na no ya 4 kata na no ya Tano ni kijiji
 
Tunakuja kwenye no 00001 hii inaonyesha katika kijiji au mtaa wako watu waliozaliwa tarehe na mwenzi huo kuwa upo pekee yako mfano ukiona 00012 inamaana mpo kumi na mbili au ukiona 00123 inamaana mpo mia naishirini na Tatu

Na no ya mwisho kabisa kwenye kitambulisho ni kwa ajili ya matumizi ya siri ya ofisi.....mfano kutambua kitambulisho hiki ni cha mwaanamke au Mwanaume

01 najua kbsa hiki ni cha mwanamke kwa kuwa mwishoni kuna 1 inawakilisha mwanamke na Mwanaume 02 inawakilisha Mwanaume
Atakama mwishoni kuna 21 hiyo moja ni Mwanamke na atakama kwa Mwanaume kuna 22 hiyo mbili ya Mwisho ni Mwanaume
Sasa hapo angalieni vitambulisho vyenu no ya mwisho kbsa ndio inakuelezea wewe ni jinsia gani

Asanteni nimeotea napokea masahihisho maana mimi nipo zone no 2
 
hapo pattern ya kuonyesha umri wa wakazi katika eneo husika ni idadi ya waliojisajiri kabla yako? Na endapo akijisajiri mwingine baadae idadi inaongezwa?
 
Itaongezeka mfano ilikuwa 00012....ikija si iankuwa 000013
 
Tunakuja kwenye no 00001 hii inaonyesha katika kijiji au mtaa wako watu waliozaliwa tarehe na mwenzi huo kuwa upo pekee yako mfano ukiona 00012 inamaana mpo kumi na mbili au ukiona 00123 inamaana mpo mia naishirini na Tatu

Na no ya mwisho kabisa kwenye kitambulisho ni kwa ajili ya matumizi ya siri ya ofisi.....mfano kutambua kitambulisho hiki ni cha mwaanamke au Mwanaume

01 najua kbsa hiki ni cha mwanamke kwa kuwa mwishoni kuna 1 inawakilisha mwanamke na Mwanaume 02 inawakilisha Mwanaume
Atakama mwishoni kuna 21 hiyo moja ni Mwanamke na atakama kwa Mwanaume kuna 22 hiyo mbili ya Mwisho ni Mwanaume
Sasa hapo angalieni vitambulisho vyenu no ya mwisho kbsa ndio inakuelezea wewe ni jinsia gani

Asanteni nimeotea napokea masahihisho maana mimi nipo zone no 2
Kuna dogo mmona kitambisho chake kutoka kwenye code imefuata namba hizi 00002-26 . Nifafanulie hapo hiyo 2 ya kwanza baada ya 0 inamaanisha nn na 26 inamaanisha nini . Asante
 
Kuna dogo mmona kitambisho chake kutoka kwenye code imefuata namba hizi 00002-26 . Nifafanulie hapo hiyo 2 ya kwanza baada ya 0 inamaanisha nn na 26 inamaanisha nini . Asaenye
00002 hii mbili tumesema inaonyesha watu waliozaliwa kwenye mtaa huyo dogo alipojiqndikisha wamezaliwa 2 kwenye tarehe mwaka na mwenzi
 
Tunakuja kwenye no 00001 hii inaonyesha katika kijiji au mtaa wako watu waliozaliwa tarehe na mwenzi huo kuwa upo pekee yako mfano ukiona 00012 inamaana mpo kumi na mbili au ukiona 00123 inamaana mpo mia naishirini na Tatu

Na no ya mwisho kabisa kwenye kitambulisho ni kwa ajili ya matumizi ya siri ya ofisi.....mfano kutambua kitambulisho hiki ni cha mwaanamke au Mwanaume

01 najua kbsa hiki ni cha mwanamke kwa kuwa mwishoni kuna 1 inawakilisha mwanamke na Mwanaume 02 inawakilisha Mwanaume
Atakama mwishoni kuna 21 hiyo moja ni Mwanamke na atakama kwa Mwanaume kuna 22 hiyo mbili ya Mwisho ni Mwanaume
Sasa hapo angalieni vitambulisho vyenu no ya mwisho kbsa ndio inakuelezea wewe ni jinsia gani

Asanteni nimeotea napokea masahihisho maana mimi nipo zone no 2
mkuu ubarikiwe sana. Naomba unieleweshe mimi namba mbili za mwisho ni 20. Hiyo ni nini?
 
Tunakuja kwenye no 00001 hii inaonyesha katika kijiji au mtaa wako watu waliozaliwa tarehe na mwenzi huo kuwa upo pekee yako mfano ukiona 00012 inamaana mpo kumi na mbili au ukiona 00123 inamaana mpo mia naishirini na Tatu

Na no ya mwisho kabisa kwenye kitambulisho ni kwa ajili ya matumizi ya siri ya ofisi.....mfano kutambua kitambulisho hiki ni cha mwaanamke au Mwanaume

01 najua kbsa hiki ni cha mwanamke kwa kuwa mwishoni kuna 1 inawakilisha mwanamke na Mwanaume 02 inawakilisha Mwanaume
Atakama mwishoni kuna 21 hiyo moja ni Mwanamke na atakama kwa Mwanaume kuna 22 hiyo mbili ya Mwisho ni Mwanaume
Sasa hapo angalieni vitambulisho vyenu no ya mwisho kbsa ndio inakuelezea wewe ni jinsia gani

Asanteni nimeotea napokea masahihisho maana mimi nipo zone no 2
Hapa hujaeleweka hata kidg! Na Kuna vitambulisho Vingine Mwisho vinaishia 24
 
Itaongezeka mfano ilikuwa 00012....ikija si iankuwa 000013
nimejisajiri 2019 watu wenye rika langu walikua wawili na mimi wa tatu,nikiwa na maana 00003 sijajua ni sahihi au laah.Kata yenye wakazi zaidi ya elfu kumi kuwa namna hii.
 
amesema wenye birthday kama yako, siyo umri kama nimemuelewa vizuri
 
Back
Top Bottom