Msaada mbeya university(must) kwa wanaosoma bba..

De black

Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
52
Reaction score
0
Wakuu,nimeaply tcu,nmeomba mbeya university bachelor of busnes admin,sasa naomba mwenye uzoef na hcho chuo anisaidie kunieleza quality ya hyo BBA ya must,pamoja na mazingira ya chuo hicho wadau
 
kiukweli must co chuo kizur kwa kozi za biashara, hta jna lake linamaanisha, it's abt engeneering technology! Biashara mzumbe, ifm ,muccobs, udbs, udom, and institute of accountancy(arusha) just ushaurii
 
mazingira interms of what? majengo, hali ya hewa, malazi, chakula or what, please specify!
 
kiukweli must co chuo kizur kwa kozi za biashara, hta jna lake linamaanisha, it's abt engeneering technology! Biashara mzumbe, ifm ,muccobs, udbs, udom, and institute of accountancy(arusha) just ushaurii

Xax ugum unakuja kwny hvo vyuo vnahtaj uwe na pass ya math o-level,an nli score f..dats why nmeshndwa kuviomba na mm napenda kuxoma BBA,ila vyuo navoeza kuxoma bba bila pass ya math ni CBE(Dar&Dom),TIA(Dar)
 
Bachelor of science in Business Administration
Mazingira ya chuo yapo vizuri.

Okay,ujue kna coz unaxoma then mwisho ukja kwny compettion ya ajira unakua poor,ndo maana nkaulza abt quality
 
Xax ugum unakuja kwny hvo vyuo vnahtaj uwe na pass ya math o-level,an nli score f..dats why nmeshndwa kuviomba na mm napenda kuxoma BBA,ila vyuo navoeza kuxoma bba bila pass ya math ni CBE(Dar&Dom),TIA(Dar)

kma hvyo fresh! fanya k2 roho inapendaa! Umehtmu 6 dis year nn
 
Wakuu,nimeaply tcu,nmeomba mbeya university bachelor of busnes admin,sasa naomba mwenye uzoef na hcho chuo anisaidie kunieleza quality ya hyo BBA ya must,pamoja na mazingira ya chuo hicho wadau

Ushauri utakaopewa hautakusaidia kwa sababu tayari umekwisha jaza form. Kwa nini usiombe ushauri kabla ?.

By the way, chuo chochote utakachopangiwa hakikisha unasoma na unakua vizuri kichwani coz waajiri wanaangalia ulichonacho kichwani mwako na sio umesoma wapi.
 
Thanx,ujue kna time tcu hua wanatoa kwa ajir kubadil kama mtu anataka kuchange facult,ila thanx kwa ushaur wko,kkubwa ntakomaa xana tu kma ntapata chance
 
Back
Top Bottom