nitatoboa kweli
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 137
- 454
Mkuu hili swali ulipaswa utuulize kabla hujawa na shamba mlimani...
Hapo sasa pagumu, kama unataka zao la kumwagilia toka huko kilimani njoo bondeni
kumbe mwenye akili upo boss?wenzako vichaa hawa
.Mkuu hili swali ulipaswa utuulize kabla hujawa na shamba mlimani...
Hapo sasa pagumu, kama unataka zao la kumwagilia toka huko kilimani njoo bondeni
Sasa ndio utufokee...🤔nataka nipande miti yamatunda boss mbona hamuelewi?
Wakuu, nimenunua shamba milimani huko, shida yake hili shamba ni maji, ukitaka kulima mazao lazima usubirie msimu wamvua.
Sasa nataka nilipande mazao ya muda mrefu ambayo yanahitaji kumwagilia kwamiezi kadhaa, bondeni ya hili shamba kuna maji mengi tu.
Je, itawezekana kutumia mbinu gani niweze kuyapandisha juu kwa kutumia rola na umbali wakutoka juu shambani hadi huko bondeni nikama rola kumi hivi.
Wataalamu wa kilimo na maji naombeni majibu ili nijue nafanyaje.